Combination za masomo kidato cha Tano
Elimu ya sekondari katika ngazi ya Kidato cha Kwanza hadi cha Nne imekuwa ikiongozwa na michepuo ya mbalimbali kama Sanaa, Sayansi, Ufundi na Biashara. Halika dhalika, masomo ya sekondari Kidato cha Tano na Sita yamekuwa ya kifundishwa kwa kutumia Tahasusi mbalimbali. Kupitia chapisho ili Tutakuelekeza michepuo ya masomo kidato cha tano (Combination za masomo kidato cha Tano au Tahasusi Za Masomo Kidato Cha Tano)
Check Also >> Jinsi Ya Kubadilisha Combination Online

Combination kidato cha tano
Elimu ya Tanzania Kwa sasa Imegawanyika katika michepuo Mitatu ambayo ni
- Michepuo ya Sanaa ( Arts Subjects)
- Michepuo Ya Sayance ( Science subjects)
- Michepuo Ya Biashara ( Business Subjects)
Combination za masomo kidato cha Tano
Zifuatazo ni Combination za masomo kidato cha Tano/Tahasusi Za Masomo Kidato Cha Tano (tahasusi na kozi zake)
Tahasusi na Kozi Zake
COMBINATION/TAHASUSI | MASOMO |
PCM | Physics, Chemistry, and Mathematics |
PCB | Physics, Chemistry, and Biology |
PGM | Physics, Geography snd Mathematics |
CBG | Chemistry, Biology, and Geograph |
EGM | Economics, Geography, and Mathematics |
CBA | Chemistry, Biology, and Agriculture |
CBN | Chemistry, Biology, and Nutrition |
HGL | History, Geography, and Language |
HGK | History, Geography, and Kiswahili |
HKL | History, Kiswahili and Language |
KLF | Kiswahili, Language and french |
ECA | Economics, Commerce and Accountancy |
HGE | History, Geography, and Economics |
PMC | physics, Mathematics, and Computer |
KFC | Kiswahili, French and Chinese |
KEC | Kiswahili, English, and Chinese |
PBF | Physical Education, Biology and Fine Art |
PGE | Physical Education, Geography, and Economics |
Read Also
Leave a Reply