Mfumo Wa Ajira Za Walimu 2022 Tamisemi | www.tamisemi.go.tz
#mfumo wa ajira tamisemi#Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Tamisemi#mfumo wa ajira tanzania#Mfumo Wa Ajira Za Walimu 2022 Tamisemi

Mfumo wa ajira tamisemi/Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Wa Tamisemi ni mfumo ulioanzishwa na Tamisemi kurahisisha zoezi la utumaji na upokeaji wa maombi ya ajira katika nyanja za Elimu na Afya. Ili muombaji aweze kuomba ajira katika mfumo huu wa ajira anatakiwa ajiunge kwa kuingiza taarifazake kwa usahihi na kisha kutuma ombi la kazi katika nafasi zilizotangazwa. Kwenye chapisho ili tutakujuza jinsi ya kujiungta katika Mfumo Wa Maombi Ya Ajira Tamisemi na kutuma maombi ya ajira mpya za Afya na Elimu.
jinsi ya kujiungta katika Mfumo Wa Ajira Tamisemi?
Kujiunga kwenye mfumo wa Ajira Tamisemi ni rahisi na haraka. Unachotakiwa ni kujaza fomu ya maombi ya usajili iliopo katika mfumo.
Taariza zinazo hitajika Kujisajili
- Taarifa Binafsi
- Taarifa za kidato cha IV
- Taarifa za kuingia Katika Mfumo
1.Taarifa Binafsi
Ili uweze kukamilisha usajili katika mfumo wa ajira Tamisemi mwombaji anatakiwa kujaza taarifa zake binafsi kwenye fomu ya usajili. Taarifa hizo ni
- Majina Kamili ya Mwombaji (JINA LA KWANZA, KATI NA MWISHO)
- Tarehe ya Kuzaliwa
- Aina Ya Maombi (Afya/Elimu)
2.Taarifa za kidato cha IV
Hapa muombaji atahitajika kujaza taarifa za kidato cha nne kama zinavyoonekana kwenye vyeti
3.Taarifa za kuingia Katika Mfumo
Hapa muombaji atatakiwa kujaza taarifa atakazo zitumia kwenye mfumo baada ya usajili
KUJIUNNGA KATIKA MFUMO WA AJIRA TAMISEMI
Ili kujiunga katika mfumo wa Tamisemi wa ajira za elimu na afya fuata maelekezo apa chini
- Tembelea ukurasa wa mfumo wa ajira Tamisemi kupitia kiungo >>ajira.tamisemi.go.tz/<<
VISIT AJIRA TAMISEMI WEBSITE Kisha Bofya SISAJILI na jaza fomu ya usajili kwa usahihi kama nilivyoelekeza apo juu

Mara baada ya kukamilisha usajili unaweza kuanza kutuma mombi na kuangalia taarifa za ombi lako.
Read Also
Leave a Reply